Breaking News

Wednesday, November 19, 2014

UNAITUMIAJE NAFASI ULIYONAYO?

Kufanikiwa kwako katika maombi kunategemea unavyoitumia nafasi yako uliyonayo katika ulimwengu wa Roho. Jadili

Monday, March 3, 2014

ISHI MAISHA YA KUSAMEHE

Ni jambo la muhimu sana mbele za MUNGU kuwa na maisha ya kusamehe, maana neno linasema " Sisi je tutapataje kupona tusipo jali wokovu mkuu namna hii? Waebrania  2: 3.
Kusamehe huachilia wokovu katika maisha yetu, ndio maana asiyeweza kusamehe naye hatasamehewa na Mungu Mathayo 6: 15.

MAOMBI

Thursday, February 27, 2014

KUWA NA HOFU YA MUNGU

Ukisoma kitabu cha mwanzo  39 na kuendelea utakutana na habari ya Yusuph mtu aliyempenda sana Mungu.Tuangalie kwa pamoja ule mstari wa tisa sura hii ya 39 ; utaona jinsi ambavyo hofu ya Mungu ndani ya moyo wa Yusufu alimfanya akatae kufanya dhambi maana walikuwa wawili tu kama si kuwa na hofu ya Mungu hakika angefanya dhambi na watu

MAOMBI KWA AJILI YA KIONGOZI WA MAONO

Matendo 12: 5, ukisoma huu mstari wa tano utaona umuhimu wa kuombea kiongozi wa maono kama ambavyo kanisa lilimuombea Petro na akafunguliwa katika vifungo vyake

Featured Post

UNAITUMIAJE NAFASI ULIYONAYO?

Kufanikiwa kwako katika maombi kunategemea unavyoitumia nafasi yako uliyonayo katika ulimwengu wa Roho. Jadili

Breaking News